Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...

Christianity eBooks

If you like Christianity eBooks, then you'll love these top picks.
Showing 1 - 24 of 108 Results
Skip side bar filters
  • A BOOK OF DIVINE BLESSINGS - Entering into the Best Things God has ordained for you in this life - SWAHILI EDITION

    School of the Holy Spirit Series 3 of 12, Stage 1 of 3

    Series Book 3 - Holy Ghost School Book Series
    KITABU CHA BARAKA ZA KIMUNGU - Kuingia katika Mambo Bora zaidi ambayo Mungu amekuwekea katika maisha haya -Shule ya Roho Mtakatifu Mfululizo wa 3 kati ya 12, Hatua ya 1 kati ya 3KUSUDI LA KITABU HIKILengo kuu la kitabu hiki limegawanywa kama ifuatavyo:1 Ili kutuonyesha kwamba kwa kweli Mungu anataka kutubariki, kiroho na kimwili.2 Ili kutuonyesha jinsi ya kupata baraka hizi bila mapambano ... Read more

    $4.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Biblia Inasema Usiogope

    Kwa sababu ya woga watu wanapoteza fursa nyingi sana maishani. Wengine wamepoteza nafasi ya kupata mchumba mzuri kwa sababu ya woga, wengine kwa woga siku ya interview wakakosa kazi na bado wengine fursa za biashara zikawapita. Lakini Neno la Mungu liko wazi kwamba huna haja ya kuogopa yeyote wala chochote ila Mungu Mwenyezi. Katika kitabu hiki, Biblia Inasema Usiogope, mistari mbalimbali katika ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Binti Unaweza Kufanikiwa

    Kitabu hiki kitayaponya maumivu ya mabinti! Katika kitabu hiki kilichotarajiwa kwa muda mrefu, wanawake wamehamasishwa kutumia hekima ya Mungu kuwasaidia kushinda hali ngumu nyingi ambazo wanakumbana nazo. Mungu atagusa maisha yako na kukutia nguvu wakati unafurahia hiki kitabu kizuri kipya hasa kilichoandikwa kwa mabinti. ... Read more

    $7.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Bwana Okoa Ndoa Yangu

    Kuna matatizo mengi yanayokabili ndoa za watu wa Mungu katika siku za mwisho. matatizo na vikwazo unavyopitia katika ndoa yako ni mashambulio ya adui na shetani. mwenza wako sio sababu ya matatizo ya ndoa yako. Watu wengu wanawashambulia wanandoa wao kama sababu ya matatizo yanayokablia maisha yako ya ndoa. kitabu hiki kitakuonyesha kuwa umekosea kuwaza hivyo. Bwana Okoa Ndoa Yangu kitakufahamisha ... Read more

    Free

  • Eneza Huduma Yako Kwa Miujiza na Udhihirishaji wa Roho Mtakatifu

    Je, nguvu zisizo kawada zipo hadi leo? Je, naweza kufanya mambo kupitia nguvu hiyo isio ya kawaida? Je, kama Mungu bado anawaponya watu, kwa nini hamponyi kila Mtu? Nawezaje kupata au kupokea upako wa uponyaji? Gundua majibu juu ya maswali haya na megnine mengi juu ya udhihirisho wa Roho Mtakatifu kupitia kurasa za kitabu hiki chenye kusisimua kilichoandikwa na Dag Heward-Mills. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Fight the Good Fight of Faith (Swahili Edition, DRC)

    Playing Your Part in God's Unfolding Drama

    This practical, helpful resource is especially designed to help new and growing Christians become effective disciples/warriors of Christ, and is built entirely on the Story of God as told in the Scriptures. Following the thematic outline of Ephesians, this lesson guide helps believers understand what the Bible says about the key dimensions of our participation in God’s grand Story in nine ... Read more

    $7.99 USD

  • GUNDUA UCHUKUZI WAKO

    by Mike Walker ...
    Unaposoma kitabu hiki maombi yangu ni kwamba Yesu afungue macho ya ufahamu wako kwa neema yake ya ajabu inayookoa, kuponya, kuhifadhi na kuokoa! Neema hii ni nyingi kwa watu wote. Ikiwa mahali fulani katika uzoefu wako umekuwa na fundo la dini bila kukusudia, ombi langu ni kwamba ugundue usalama, amani na uhuru unaopatikana wakati fundo hilo linafunguliwa na uwe huru kudhihirisha neema ya Mungu ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Hatari za Kiroho

    Mkristo hutembea katikati ya hatari nyingi, mitego na mitambo. Kitabu hiki kitafumbua macho yako kwa hatari nyingi za kutatiza zinazoongoja kutuumiza, kutujeruhi na kutuharibu. Jisaidie, Jiokoe na jiondoe kupitia kitabu hiki cha nguvu kuhusu hatari za kiroho! ... Read more

    $7.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Hatua za Ukuaji wa Kiroho

    Hiki ni kitabu ambacho ni msaada mkubwa sana kwa waamini, kwani kinatoa funguo muhimu na kweli muhimu zitakazomsaidia mwamini kukua katika kumjua Mungu. Kimejawa na miongozo mingi yenye kufaa katika mazingira halisi na ya kimaandiko, inayohusu ukuaji wa kiroho wa mwamini. Masomo yaliyotajwa hapo chini yametazamwa kwa upana:Nini maana ya kuokolewaUmuhimu wa Neno la MunguUbatizo wa maji, agizoMaombi ... Read more

    $3.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Heri ni…

    Hazitafaidi juhudi za mtu yeyote, maisha ya kupendeza na yaliyojaa maana kuyafikia. Udini na matendo yote mema hayatamsaidia mtu kupatana na kuwasiliana na Mungu. Ni bure jitihada za kumtafuta Mungu katika asili (maumbile) na falsafa (filosofia). Njia ya mwanadamu kujaribu kumfikia Mungu ni ruzu na haina msingi. Hata hisia zake zinamuarifu hivyo. Kwa hivyo hana amani. Katika fahamu zake na hata ... Read more

    $1.99 USD

  • Historia & Maisha ya Yeshua Kristo

    Kitabu hiki MNNNMA ni kiberiti kinacho washa moto wa mabadaliko makubwa, na kama siyo mapinduzi ndani ya kanisa lote linalo zungumza Kiswahili. Katika hiki tunaona mtizamo mpya wa theolojia, changamoto katika tafsiri za biblia ndani ya lugha ya Kiswahili, na jipya zaidi ni uhamisho wa waumini toka udini kuelekea mahusiano na Mungu YHWH.Kitabu kinachukulia biblia yote kuwa fumbo la picha, na hivyo ... Read more

    $4.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu

    Watu wa Mungu wanatakiwa kujua majira na wakati sahihi wa unyakuo na saa ya kurudi kwa Bwana Yesu kulichukua kanisa na kukusanyika mbele zake na kukaa katika makao yetu ya milele. Nimeandika kitabu hikio kuwasaidia watu wa Mungu kujua tupo katika majira gani ya kanisa ili waweze kujiandaa kwa ajili ya tukio hili kubwa litakalotokea muda wowote kuanzia sasa. Maandiko matakatifu yanasema kama mtu ... Read more

    Free

  • Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu

    Mada ya imani ni muhimu sana kwetu kuelewa. Kitabu hiki kinashughulikia misingi ya kile tunahitaji kuelewa juu ya imani. Soma kitabu hiki ili ujue jinsi ya kuongeza imani yako. Maandiko mengi yaliyonukuliwa yanatuonyesha kile Biblia inafundisha juu ya imani, na maoni kwa wakati wote ambayo yanamwongoza msomaji kuelewa maandiko ambayo yamenukuliwa.Kitabu hiki kinafundisha juu ya mfano wa Mababa ... Read more

    $1.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Imani Makini

    Siri Ya Ulinzi, Ushindi Na Mafanikio

    Kwa wakristo wengi, imani ni fumbo lisiloweza kutatuliwa isipokuwa tu kwa wachache kama mitume, manabii, na wachungaji! Neno la Mungu linasema kwamba bila imani, haiwezekani kumpendeza Mungu (Waebrania 11:6) na tena katika Warumi 14:23 linasema, kila tendo lisilotokana na imani ni dhambi! Je, ni kweli kwamba imani inapaswa kuwa fumbo kwa mkristo?Katika kitabu hiki, Mwalimu Huruma Gadi anakuja na ... Read more

    $9.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Imani Ya Mtu Wingine

    Is the faith you profess really yours?Are you trying to go to heaven on someone else's shoulders?Living by someone else's standard?Beliveing someone else's beliefs?Using someone else's gifts?Maintaining someone else's traditions?Depending on someone else's strength?It is possible to live off someone else's faith, and all too often we accept Christianity as a pakaged deal rather than a personalized ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Inamaanisha Nini kuwa na Busara kama Nyoka

    Yesu alisema: basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua. Je, nyoka ni wenye busara kweli? Kwa nini Yesu alitoa ushauri kama huo? Anza safari katika kitabu hiki cha kuvutia cha Dag Heward-Mills, na ugundue busara iliyofichika ya nyoka. ... Read more

    $12.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Introducing Holy Ghost School - God's Endtime Programme for the Preparation and Perfection of the Bride of Christ - SWAHILI EDITION

    School of the Holy Spirit Series 1 of 12, Stage 1 of 3

    Series Book 1 - Holy Ghost School Book Series
    Kuna hatua mpya ya Mungu, inayoitwa HOLY GHOST SCHOOL. Ni rahisi sana, lakini ina nguvu sana. Ni rahisi na yenye nguvu kwa maana kwamba, kupitia hilo, Mungu atabadilisha maisha yako na ya washiriki wote wa familia yako ndani ya muda mfupi! Matatizo yaliyokuwepo kwa miaka mingi, ambayo yamekataa kwenda licha ya juhudi zote, haya yote yataoshwa na MAJI YA UZIMA, ambayo yanabubujika kutoka kwa kiti ... Read more

    $4.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Itaje! Idai!! Ichukue!!!

    Katika kitabu hiki, mwandishi anamwonyesha muamini funguo kuu ya kupokea upenyo wa kiroho, kimwili, kiuchumi na kimali! ... Read more

    $5.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Je, Umezaliwa upya kweli kwa Maji na kwa Roho? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

    by Paul C. Jong ...
    Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati ... Read more

    $3.20 USD or Free with Kobo Plus

  • Jemedari Mwema Sayansi ya Uongozi

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $20.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Jesus King with two Crowns

    Yesu Mfalme na Taji mbili

    by Greg Mills ...
    Yesu alifundisha kurudi kwake mwishoni mwa siku ingekuja na ishara maalum za onyo. Ishara hizi zingejumuisha mapigo, kuongezeka kwa matetemeko ya ardhi, vita na kuanguka kwa mazingira kamili ya sayari. Miongoni mwa majanga yanayokuja ni asteroid au comet inayoitwa Mchanga ambayo itapiga bahari kugeuka theluthi moja ya damu ya bahari nyekundu, na kuua theluthi moja ya maisha ya baharini.Kutakuwa na ... Read more

    $1.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Jinsi Unavyoweza Kuhubiri Kuhusu Ukombozi

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $25.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Jinsi Unavyoweza Kutimiza Huduma Yako

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $7.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Jinsi ya Kusali & Kuongea na Yahweh

    Kitabu hiki MNNNMA ni kiberiti kinacho washa moto wa mabadaliko makubwa, na kama siyo mapinduzi ndani ya kanisa lote linalo zungumza Kiswahili. Katika hiki tunaona mtizamo mpya wa theolojia, changamoto katika tafsiri za biblia ndani ya lugha ya Kiswahili, na jipya zaidi ni uhamisho wa waumini toka udini kuelekea mahusiano na Mungu YHWH.Kitabu kinachukulia biblia yote kuwa fumbo la picha, na hivyo ... Read more

    $3.42 USD or Free with Kobo Plus