Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...

Study Aids eBooks

If you like Study Aids eBooks, then you'll love these top picks.
Showing 1 - 6 of 6 Results
Skip side bar filters
  • Mwongozo wa Kigogo: Maswali na Majibu

    Mwongozo wa Kigogo ni kitabu ambacho kimetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kumsaidia mwanafunzi, mwalimu na msomi wa fasihi katika kuelewa na kuchambua kwa kina tamthlia ya Kigogo. Mwongozo huu una sehemu tatu kuu. Kwanza, ni sehemu inayoshughulikia mtitiriko wa matukio katika kila onyesho na tendo. Sehemu ya pili inazamia uchambuzi wa fani na maudhui nayo ile ya tatu ni sehemu ya kujitathmini. ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu

    Mwongozo huu umetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kuwafaa wanafunzi na walimu katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali riwaya ya Chozi la Heri. Vipengele hivi ni pamoja na ploti, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Ni mwongozo ambao unarahisisha uelewaji wa masuala yanayoonekana changamano na tata kwa kutoan msuko ulio sahili. Mwongozo huu ni wa kipekee kwa maana una maswali ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge

    Mwongozo huu ni kitabu ambacho kimeandaliwa kimaksudi kwa lengo la kumsaidia mwanafunzi, mwalimu na msomi wa fasihi kuelewa na kuchambua kwa kina diwani ya Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine. Mwongozo huu una sehemu mbili kuu. Kuna sehemu ya uchambuzi wa fani na maudhui na sehemu ya kujitathimini; sehemu hii inajumuisha maswali kadha na majibu yake. Hadithi zote zimeshughulikiwa vilivyo. ... Read more

    $3.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari

    Kitabu cha Fasihi Simulizi kimetungwa kwa wanafunzi wa shule za sekondari ili kuwasaidia kujiandaa kwa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne (K.C.S.E.).katika somo la Kiswahili hususan Fasihi Simulizi. ... Read more

    Free

  • Maneno na Aina za Maneno

    Maneno na Aina za Maneno ni kitabu ambacho kimedhamiriwa wasomi wenye haja ya kutafiti na kukielewa Kiswahili vyema zaidi. Hebu nao wachangie. ... Read more

    Free

  • Uandishi wa Insha na Tungo Nzuri

    James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu. Alifunza Kiswahili kwa miezi 376 katika Shule Kuu Sekondari ya Wasichana ya Moi, Eldoret (Septemba 1976 – 1986 na Julai 1990 – Februari 2000); Shule ya Sekondari ya Wangulu, Wodanga (1987 – Julai 1990) na Shule ya Sekondari ya ST John The Baptist, Likuyani (Februari 2000 – 2007) akastaafu.Hivi sasa ni mwandishi asiye na mipaka huku akiwa mtekelezi wa tiba ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus