Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...

Poetry eBooks

If you like Poetry eBooks, then you'll love these top picks.
Showing 1 - 12 of 13 Results
Skip side bar filters
  • ALINIAMBIA

    (KITABU CHA MASHAIRI)

    BAADHI YA MAONI YA WASOMAJI"Mashairi yenu ni mazuri sana na yanaonyesha kuwa mna vipaji vingi. Una njia isiyo ya kawaida na hakuna shaka kwamba kutokana na matibabu sahihi, lazima kuwe na mahitaji fulani ya kitabu."Excalibur Press ya London (Uingereza)"Kishairi mashairi yako yana ubora wa muziki, na yatakuwa mazuri kama maandishi ya nyimbo.""Agano la Mpenzi""Inaonekana kama wimbo wa melancholic. ... Read more

    Free

  • Vachayeri va mbhongholo

    Leyi i buku ya switlhokovetselo swa Xitsonga. Vatsari va tsarile buku leyi ku ta hlohlotela vantshwa no dyondzisa dyondzo ya vutomi. Buku leyi yi rhwele switlhokovetselo swo hambanahambana leswi nga na dyondzo yo pfula mahlo ya muhlayi. Tibuku to tanihi leti ta ha ta landzela, lowu i ntirho wo hlayisa no kurisa ririmi rerhu. Hi tlangela vantshwa va 1976 hi vutlhokovetseri. Xana wena u va tlangela ... Read more

    Free

  • NANI ALIKWAMBIA?

    (KITABU CHA MASHAIRI)

    BAADHI YA MAONI YA WASOMAJI"Mashairi yenu ni mazuri sana na yanaonyesha kuwa mna vipaji vingi. Una njia isiyo ya kawaida na hakuna shaka kwamba kutokana na matibabu sahihi, lazima kuwe na mahitaji fulani ya kitabu."Excalibur Press ya London (Uingereza)"Kishairi mashairi yako yana ubora wa muziki, na yatakuwa mazuri kama maandishi ya nyimbo."'Mawe ya kulia'"Shairi limejaa hisia nzuri na za huruma ... Read more

    Free

  • Mungu Wa Ajabu

    by André CRONJE ...
    Mungu wa Ajabu: Ni utukufu wa wafalme kutafuta siri za dunia na kupata siri za ufalme wa Mungu. Dunia yote imejaa utukufu wake, na viumbe vyote vinapaaza sauti vikitaja jina lake kwa sifa na kuabudu. Mungu wa Ajabu imejaa mashairi na sifa ili kuhamasisha imani yako na mkusanyiko wa mawazo. Kama vile mtunga-zaburi alivyosema, ulimi wangu ni ule wa mwandishi aliye tayari kumpa ukuu mfalme wangu ... Read more

    $3.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Kionjo cha Uchokozi

    James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu ambaye kazi zake za kishairi zinatajika katika shule za sekondari, vyuo na hata vyuo vikuu. Aliwahi kutunga mashair ya kufunzia katika kitabu maarufu TAALUMA YA USHAIRI akishirikiana na Mkurufunzi Profesa Kitula King'ei wa Chuo Kikuu cha Kinyatta. ... Read more

    $1.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Sikitiko

    Vita, vita na vita ni visa vya aibu. Binadamu hujidunisha kwa kupigana ovyoovyo. Tabia za uporaji na unyakuzi wa mali ya wengine ni unyama. Tabia ya kudai wageni wamechukua nafasi zetu ni upumbamvu na ukatili dhidi ya hadhi ya wanadamu. Tuwe watu, tukome kuwa viatu. Damu ya mtu huyu na ya mtu yule ni moja. Hapo aliye na damu ya kijani kiwiti. Kuwashawasha nyoto kukome tuishi kama ndugu na ndugu. ... Read more

    $3.33 USD or Free with Kobo Plus

  • Mfalme - Nilipumzika

    Mashairi Ya Kisasa - Modern Swahili Poetry

    "Mfame - Nilipumzika" is the modern Swahili poetry book from a multi-talented poet, writer, producer, composer, musician, and captain. This book is set apart from other Swahili poetry books because the author employed creative writing techniques to spice up the book, such as fusing proper Swahili vocabulary with street Swahili colloquial terms that are used in daily life. The poems in this ... Read more

    $3.99 USD

  • ELIMU JAMII NA CHEMSHA BONGO

    Series Book 112 - TOLEO LA PILI
    Charles Joseph Mlokaalizaliwamwaka 1957 mjini Arusha. Ana elimuyaUhazili, Cheti cha Sheria, Diploma yaSheria, Shahada ya Kwanza yaSheriana Shahada yaUmahirikatikaSheria. AmekuwamtumishiwaSerikalikatikamikoayaLindi, Dar es Salaam na Dodoma kwatakribanmiakaarobainikatikanafasimbalimbali. Miongonimwavitabualivyovitungahadisasani Diwani yaMloka, AdhayaUkimwi, The Wonderful Surgeon and Other Poems, The ... Read more

    $4.99 USD

  • BORA UZIMA

    na mashairi mengine

    Des poèmes écrits en swahili parlé couramment en République démocratique du Congo qui s'inspirent largement de la sagesse populaire. Le vocable swahili est plus complexe et plus riche que son homologue français . Il implique la plénitude, la tension vers la plénitude, tout ce que ne dit pas le mot français « vie », qui se confond souvent avec son synonyme « existence ». Ainsi, lorsque j'entends ... Read more

    $5.54 USD or Free with Kobo Plus

  • Machozi Yamenishiya

    Mateso, maumivu na siasa ni mambo yaliyojaa uchochezi mkali unaomsukuma mshairi kuzungumza waziwazi na kinagaubaga na hatimaye kumfanya mwandishi apandwe na jazba zinazofanya kazi fulani itoke nje ya kingo za ulingo wa kisanaa. Katika hali kama hii mshairi lazima atunge wimbo unaoimbika ndani ya nafsi yake mwenyewe kwanza, wimbo utakaomwezesha kunyanyuka kitandani asubuhi huku akijua hayuko pweke, ... Read more

    $15.99 USD

  • Tungo Zetu

    Msingi wa Mashairi na Tungo Nyinginezo

    Wataalamu wa lugha na fasihi na mila za watu mbalimbali wametuzindua juu ya utajiri wa fasihi ya Waswahili. Katika fasihi hiyo, tungo za Kiswahili ndilo jambo lililojitokeza mbele kwa mwanga wenye kunawiri sana. Profesa Ibrahim Noor Shariff amefanya utafiti mkubwa kabla ya kukiandika kitabu hiki. Natija yake ni kuwa yaliyoelezwa humu yametufunulia mengi yaliyokuwa dafina. Tokea 1988 ... Read more

    $18.99 USD

  • Kale ya Washairi wa Pemba: Kamange na Sarahani

    Edited by Abdilatif Abdalla ...
    The title of this collection of poetry, Kale ya Washairi wa Pemba: Kamange na Sarahani is translated as, �The Past of Pemba Poets: Kamange and Sarahani�. Pemba, for those who may need reminding is the smaller of the two islands known as Zanzibar, the other being Unguja. The poets whose works make up the collection lived between the last half of the 19th and early 20th century in Pemba, but their ... Read more

    $23.99 USD