Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...

Education & Teaching eBooks

If you like Education & Teaching eBooks, then you'll love these top picks.
Showing 1 - 9 of 9 Results
Skip side bar filters
  • Darubinii ya Sarufi

    Sarufi ndio uti mgongo wa lugha. Kwa Kiswahili mtazamo wake na kinachostahili kufunzwa katika ngazi tofauti umekuwa ukibadilika haraka. Matokeo yamekuwa utata mwingi unaowakumba wanafunzi na kwa kiasi fulani waalimu wao. ... Read more

    $41.99 USD

  • Faidika na Methali, Nahau na Vitendawili

    FAIDIKA NA METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI ni kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya wanafunzi wa Kenya. Hata hivyo, kinaweza kutumika katika nchi yoyote ya Jumuia ya Afrika Mashariki na penginepo Kiswahili kinapozungumzwa. Katika mkusanyo huu, wanafunzi wa Shule za Msingi pamoja na walimu wao wataweza kufaidika kwa kuwa na kitabu kimoja chenye fani hizi - methali, nahau na vitendawili - zote katika ... Read more

    $26.99 USD

  • Kamusi Rasmi ya picha

    by Yahya Mutuku ...
    Kamusi Rasmi ya Picha imeandikwa kwa upekee usiodhihirika katika kamusi nyingine. Kamusi hii ina sifa zifuatazo:• Imeepuka mpangilio wa kialfabeti uliotumiwa na kamusi nyingine. Msamiati umepangwa kwa makundi badala ya kialfabeti kwa sababu wanafunzi katika kiwango hiki bado hawawezi kusaka msamiati kialfabeti (kiabjadi).• Mkusanyiko wa msamiati unaambatana na ule ulio katika silabasi ya Kiswahili ... Read more

    $26.99 USD

  • Mfalme - Nilipumzika

    Mashairi Ya Kisasa - Modern Swahili Poetry

    "Mfame - Nilipumzika" is the modern Swahili poetry book from a multi-talented poet, writer, producer, composer, musician, and captain. This book is set apart from other Swahili poetry books because the author employed creative writing techniques to spice up the book, such as fusing proper Swahili vocabulary with street Swahili colloquial terms that are used in daily life. The poems in this ... Read more

    $3.99 USD

  • Mitihani Kielelezo Ya Kiswahili KCSE

    Mitihani Kielelezo Ya Kiswahili KCSE ni kitabu cha mazoezi katika karatasi zote tatu za mtihani wa Kiswahili. Kitawafaa sana wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa KCSE. Ipo mifano ya majibu kielelezo kwa ajili ya mazoezi mwafaka. ... Read more

    $1.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Ramani ya Kiswahili

    by Kelvin Munene ...
    Ramani ya Kiswahili ni kitabu ambacho kina uwezo wa kusaidia walimu na wanafunzi wakati wanafanya marudio yao. Kitabu chenyewe kimegawanyika katika sura kumi na moja. Baadhi ya sura hizo zinahusiana na lugha, ngeli za maneno, sauti, silabi, vitate, visawe, vitawe, aina za maneno, shamirisho, chagizo, kijalizo, uchanguzi wa sentensi, aina za sentensi, viambishi na viungo vingine vya sarufi. Baada ... Read more

    $12.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Ruman Swahili Picture Dictionary

    Kamusi Ya Kiswahili Yanye Picha

    Translated by Abela Millanzi ...
    The Ruman Swahili Picture Dictionary is a foldout collection of twenty-two delightful posters targeting different subjects related to our daily lives. Each poster is surrounded by up to thirty-five nouns and five to ten verbs each represented by a unique drawing. This feature allows for the visualization of all vocabulary words without the necessity of including any translation.This colorful and ... Read more

    $10.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Simple Swahili for Beginners Series Book 1 Maamukizi (Salamu) - Salutations (Greetings)

    Simple Swahili for Beginners is a guide for people who are interested in Swahili for general use.In this edition you will find salutations and a few other words that you will find useful as you meet people here and there in East Africa. ... Read more

    $2.00 USD or Free with Kobo Plus

  • ZIHIRIMU Vitenzi Visivyo na Kanuni vya Kiingereza

    Kitabu Kinaelezea Njia Mbunifu ya Kujifunza Vitenzi Visivyo vya Kawaida vya Kiingereza Katika Siku TisaKimetafsiriwa katika Lugha Zaidi ya 24 Duniani Kote ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus