Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...

Entertainment eBooks

If you like Entertainment eBooks, then you'll love these top picks.
Showing 1 - 7 of 7 Results
Skip side bar filters
  • Simu Ya Kuzimuni

    by Wadi Kyhia ...
    Mengi yamasemwa na nyingi zikatolewa ahadi kwa vijana kuhusiana na mustakabali wao. Vijana wakasoma na kuhitimu, 'Someni vijana mtapata kazi nzuri sana!' Wakapiga kura kuwachagua viongozi watakaozitimiza ndoto zao, ila 'zao' zikawa ndoto zao viongozi! Wazazi, walimu na waelekezi wa vijana wayajua waingoja siku watakapoona kutimia kwa mazao ya bidii ya kuwaelimisha vijana wasomi. Nani ... Read more

    $1.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Kioo Chenye Kiwi

    by Wadi Kyhia ...
    Utandawazi umeipanua mipaka ya kidini na ile ya sekta ya habari na mawasiliano.Washindani katika nyanja mbili hizi wako mbioni kiuchumi na kijamii kila mmoja akitaka kuwa msaliaji,ima fa ima. Mapera Kipanga anatumia kila senti kushiriki shindano la 'Peperuka na Ndege Dola' linalotangazwa kwenye Idhaa ya Sauti Yetu,stesheni ya redio afanyapo kazi Njozi,mwanawe.Shindano lamwehuza Kipanga huku Njozi ... Read more

    $1.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Toweka

    Hadithi ya mpiga picha anayepoteza kumbukumbu ughaibuni ... Read more

    $2.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Mfalme Lia

    Mfalme Lia, tafsiri ya hadithi ya Kiswahili ya hadithi ya 'King Lear', kama ilivyosimuliwa upya na Charles na Mary Lamb, toka kwa tamthiliya iliyotungwa na William Shakespeare. Hadithi za Uswahilini.* King Lear, 'Tales from Shakespeare' Swahili translation. ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Juma Kilaza Nguli wa Muziki Toka Mji Wenye Sifa ya Mpira na Muziki

    by Anthony Marwa ...
    Juma Ramadhan Magola Kilaza (Magola wa Chumbi), ambaye alijulikana zaidi kwa jina Kilaza ambalo ni jina la ukoo, ni mmoja kati ya wanamuziki bora kuwahi kutokea Tanzania. Mwanamuziki huyu, alianza kupiga muziki kwenye miaka ya 1960. Katika Maisha yake, alishiriki katika bendi za Morogoro jazz, Cuban Marimba, TK Lumpopo, Magola International na Les Cuban, zote za Morogoro akishiriki kupiga muziki ... Read more

    $3.90 USD or Free with Kobo Plus

  • Mbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania

    by Marwa ...
    Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ni moja ya wanamuziki nyota kuwahi kutokea Tanzania. Mwanamuziki huyu alikuwa na kipaji kikubwa cha kupiga gitaa la solo, ala zingine, kutunga na kuimba. Kutokana na utunzi wake wa nyimbo za kusisimua, alijizolea wapenzi wengi wa muziki Afrika Mashariki na ya kati, akipiga zaidi muziki wa mtindo wa rumba, mtindo ambao asili yake ni kutoka Cuba na nchi zingine za Marekani ... Read more

    $3.90 USD or Free with Kobo Plus

  • Safari Ya Irene

    by Simon Rieber ...
    Safari ya Irene ni riwaya inayo muhusu binti Irene Paul mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, anyejikuta akiingia kwenye matatizo makubwa baada ya kufunga safari nakumfuata kijana Francis anayeishi mkoani Iringa aliye kutana nae kwenye mitandao ya kijamii mtandaoni. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus